ZINGUA

Definition:

Ni neno maarufu sana (lisilo rasmi) lenye maana ya; 1. Hali ya Kumsumbua/bugudhi mtu (Masumbufu. mf; "UsiniZINGUE ninapojisomea mwenzio."

2. Kushindwa kwa jambo. mf; "Nimejaribu kutengeneza simu yangu lakini imeZINGUA"

Ila maana kwa Kiswahili sanifu neno ZINGUA ni tendo la kumuagua mtu asumbuliwae na tatizo la pepo wabaya mfano mizimu.

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024