Wire

Definition:

Wire/Wira

Dadavuzi kutoka katika neno la kiingereza Worry

Ikiwa na Maana ya “ogopa/Ogofya/enye-kuogopa/Kuogofya”

Hutumika katika kuwasilisha kauli fulani,haswa mtaani ilipo misimu ya kila namna.

Mfano;

1)Usiwire mdogo wangu,mambo yatakuwa sawa sawa.

2) Acha kuwira mapema kiasi hiki, muda bado upo.

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024