Punga

Definition:

Shuke la maua dume ya mhindi au nyasi.

Toa ishara kwa kupepea mkono.

Kaa nje na kujipumzisha.

Fanyia mgonjwa tiba kwa kumpigia ngoma pepo anayedhaniwa kuwa anamsumbua

Pungua nguvu ya joto k.v. jua.

Shoga, msenge

mf. "Athumani kumbe ni punga aisee."

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024