Ndezi

Definition:

Mnyama wa mwituni mwenye umbo kama la panya na ni mkubwa kuliko paka.

Mtu aliyepumbaa. (fala, mjinga, bwege)

"Nilipoingia jikoni ghafla nizirai kwa mshtuko baada ya kukurupushwa na ndezi."

"Mapenzi yamemfanya Ally kuwa ndezi sana siku hizi."

"Acha undezi."

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024