Mpigadebe

Definition:

Jina la konda msaidizi mwenye kazi ya kuwaita au kuwafahamisha abiria wapande dala dala fulani kwa safari husika.

Mtu anayepaza sauti kuwapasha habari wengine juu ya jambo fulani.

Literally means; a person who hits an empty metal can

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024