Kwere

Definition:

Dadavuzi kutoka katika neno la kiingereza quarrel.

Ikiwa na Maana ya “isiyo na tatizo,isiyo na shaka, hakuna tatizo, hakuna shaka au wakati mwingine huwa kinyume chake."

Hutumika katika kuwasilisha kauli, haswa mtaani ilipo misimu ya kila namna.

Mfano;

1) Kupitia shutuma zinazomkabili,aliamua kuleta Kwere

2) Wakati wanasubiri majibu,mioyo yao haikuwa na kwere yoyote mahala pale.

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024