Kumbakumba

Definition:

Uchukuaji wa mchanganyiko wa vitu vya namna nyingi.

Jambo lenye kuathiri watu wengi.

"Maradhi ya UVIKO 19 ni kumbakumba."

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024