Kiwembe

Definition:

Ni kifaa cha bapa chenye makali kotekote.

Humaanisha mtu ambaye hatulii kwenye mahusiano yake ya mapenzi, yaani mtu asiyekuwa na mpenzi mmoja.

Ali ni kiwembe balaa.

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024