Kisu

Definition:

Kifaa kirefu kilichotengenezwa kwa chuma au bati kilicho bapa na chenye ukali upande mmoja kinachotumika kwa kukatia.

Ada wapewayo binamu wa biharusi kwa sababu ya kuchukuliwa ndugu yao.

Hutumika kumaanisha msichana au binti mrembo sana.

mf. "Mwajuma ni kisu."

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024