Kisanga

Definition:

Tukio hasa baya linalompata mtu.

Hali ya ghasia inayotokana na kutokuelewana.

"Kisanga kilianza mara baada ya hotuba ya Waziri."

"Yule manzi pesa aliyonayo ni kisanga Arifu"

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024