Kipanga

Definition:

Wingi: Vipanga

Ndege mkubwa jamii ya tai anayekula wanyama na ndege wadogo. k.v. vifaranga

Mwanaume anayewarubuni mabinti wadogo.

mf. "Mzee Juma ni kipanga laana!"

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024