Dingi

Definition:

Baba, mzazi/mlezi wa kiume.

Jina la mtaani la heshima kwa mwanaume

"Oya dingiii umetisha."

"Dingi yangu anaitwa Mwalubadu."

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024