Demu

Definition:

Nguo mbovu iliyopasuka.

Kitambaa ambacho zamani kilitumika na wanawake kuvaa kiunoni au kufunikia maziwa wakati wa kulima.

Jina la msichana mrembo, mpenzi,

"Salma ni demu wangu."

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024