Danga

Definition:

Kiazi kikuu cheupe.

Tunda lisilokomaa bado au bichi k.v. Nazi.

Chota kiasi kidogo. 'Danga maji kwenye bilauri'

Tafuta kitu kilichoadimika.

Mwanamke malaya, kahaba, anayefanya mapenzi kwa malipo.

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024