Chenga

Definition:

Samaki mwenye umbo la mviringo, kichwa bapa, mwiba mgongoni, rangi nyeupe tumboni na ya maziwa mgongoni.

Tendo la kumwepuka mtu kwa ujanja.

Punje ndogondogo za kitu, aghalabu za mchele uliokatikakatika.

Mtu mwehu; asiye na akili timamu

"Jamaa chenga kweli huyu."

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024