Achiwa mikoba

Definition:

(Nahau)

Kurithishwa madaraka au majukumu.

"Fundi John amemwachia mikoba mwanawe wa pili."

imeundwa Kwa upendo Tanzania na Argentina | 2024